Msaada we iko kitaa chekundu juu upande wa kulia

King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
502
Likes
448
Points
80
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2013
502 448 80
gari inapokua silent kabla sija I start iko kitaa uwa kinaonekana ila baada ya kuwasha tu kinapotea naombeni mnisaidie wana jukwaa
b2035c60f562663059c1675b8bba9db5.jpg
 
kaburu mdogo

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Messages
521
Likes
184
Points
60
kaburu mdogo

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2011
521 184 60
gari inapokua silent kabla sija I start iko kitaa uwa kinaonekana ila baada ya kuwasha tu kinapotea naombeni mnisaidie wana jukwaa
b2035c60f562663059c1675b8bba9db5.jpg
inaonesha kama oil gari ipo ya kutosha,pressure ya oil inayosukumwa kwenye kwenye engine ya gari IPO ya kutosh no.endapo umekagua gari yako kabla ya kuliwasha na kukuta oil sawa,unapowasha gari hakikisha taa hii inazima,na kama ikiendelea kuwaka tafadhali zima gari na muite mtaalam aje aingalie gari yako vizuri kwani endapo utaendesha gari hiku taa ya oil ikiendelea kuwaka kuna uwezekano ukaua gari yako kwa asimia 100.
Kitaalam nadhani inaitwa engine oil gauge.
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,731
Likes
765
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,731 765 280
Mkuu, iko kitaa ni cha kawaida, ila ukiliwasha tu gari inabidi kizime.

Ni balaa kubwa sana kikiwaka huku gari linatembea. Ni either oil pressure ilo low au oil level iko below. Kuna uzi wangu imenitokea kama mwezi hivi uliopita, waungwana wakanidaidia hadi sasa nina kiburi mjini. Kidogo nikaange engine.

Mkuu ndio umeingiza mzigo nini. Naona Kilometa bado virgin.

Soma huu uzi: Je nimeharibu gari kwa kuliendesha huku taa ya oil ikiwaka?
 
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
502
Likes
448
Points
80
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2013
502 448 80
inaonesha kama oil gari ipo ya kutosha,pressure ya oil inayosukumwa kwenye kwenye engine ya gari IPO ya kutosh no.endapo umekagua gari yako kabla ya kuliwasha na kukuta oil sawa,unapowasha gari hakikisha taa hii inazima,na kama ikiendelea kuwaka tafadhali zima gari na muite mtaalam aje aingalie gari yako vizuri kwani endapo utaendesha gari hiku taa ya oil ikiendelea kuwaka kuna uwezekano ukaua gari yako kwa asimia 100.
Kitaalam nadhani inaitwa engine oil gauge.
Asante mkuu
 
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
502
Likes
448
Points
80
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2013
502 448 80
Mkuu, iko kitaa ni cha kawaida, ila ukiliwasha tu gari inabidi kizime.

Ni balaa kubwa sana kikiwaka huku gari linatembea. Ni either oil pressure ilo low au oil level iko below. Kuna uzi wangu imenitokea kama mwezi hivi uliopita, waungwana wakanidaidia hadi sasa nina kiburi mjini. Kidogo nikaange engine.

Mkuu ndio umeingiza mzigo nini. Naona Kilometa bado virgin.

Soma huu uzi: Je nimeharibu gari kwa kuliendesha huku taa ya oil ikiwaka?
Yay chombo bado no kimpya ndugu yangu
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
4,986
Likes
5,574
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
4,986 5,574 280
aiseee ww dereva kweli?? kuna taaa lazima dereva uzifaham hasa hizo zenye taa nyekundu maana ikiwaka ni hatari bora zile za orange/yellow ,blue ,green huwa zikakuwa za tahadhari lkn hizo red nihatari
 
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
8,605
Likes
6,607
Points
280
Age
48
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
8,605 6,607 280
Mkuu hicho ni cha belt (mkanda) kinakutaarifu hujafunga mkanda!!
 
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
502
Likes
448
Points
80
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2013
502 448 80
aiseee ww dereva kweli?? kuna taaa lazima dereva uzifaham hasa hizo zenye taa nyekundu maana ikiwaka ni hatari bora zile za orange/yellow ,blue ,green huwa zikakuwa za tahadhari lkn hizo red nihatari
Dats y nikauliza watu kama nyie mnisaidie not very thing about car nitakua navijua but thnkx 4 ur answer mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,235,066
Members 474,351
Posts 29,211,286