Msaada waungwana jinsi ya kuset hak ka vodaphone

jiwelampaka

Senior Member
Jul 8, 2017
101
46
Habar ya wekend waungwan jan katik pitapita zang kkoo nikafanikiwa kununua hak ka voda phone sasa leo natak nikatumie nashidwa hat kupat menu tok morng na haha ulimi nje nikawaza jins ulya kupat msaad nikapat jibu hap ndo mwisho wa matatizo so masada jamn hap nilipofikia nini cha kufanya *ASANTE
6374adb0087b18c9977c2938e8f062f4.jpg
 
Mh hiyo itakua iliingizwa patern ovyoovyo na hapo imegoma ni lazima ujue pasword na email iloyotumika katika kuingilia google play stor
 
Back
Top Bottom