Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,101
- 5,609
Ndugu wanajamvi nahitaji msaada wa kupata Tape recorder KWA MAENEO YA JIJI LA MWANZA kwa ajiri ya kufanyia "Research" hasa wakati wa mahojiano na washiriki.
Tumia simu