MSAADA: Watanzania waishio Luanda, Angola

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,235
Wakuu muishio Angola ndugu yenu nimepata kazi kwenye moja ya kampuni za simu hapo Luanda, yeyote aliye hapo jijini tuwasiliane ili angalau nijue ABC za hapo town...nyumba za kuishi,usafiri na mademu wa kupiga mikasi baada ya kazi/weekend. Asanteni
 
Kwa kweli hata mie natafuta mtu ambae ni mwenyeji wa angola.nimewahi kusafiri kupitia kitwe kwenda mpk kasumbalesa kwenda lubumbashi mpk kadundu.huwa natamani nimpate mtu wa angola kulingana na kz yangu ninayofanya Hima nisaidieni jamani
 
Luanda Angola ndiyo mji ghali kuishi kupita miji yote duniani kwa sasa. Of course kuna njia za ku avoid expenses ukikaa Manzese yao badala ya Oysterbay, of course kuna risk zake pia.

Tafuta wenyeji wakuelekeze vizuri.
 
Luanda Angola ndiyo mji ghali kuishi kupita miji yote duniani kwa sasa. Of course kuna njia za ku avoid expenses ukikaa Manzese yao badala ya Oysterbay, of course kuna risk zake pia.

Tafuta wenyeji wakuelekeze vizuri.
Risks zake ni pamoja na nini? wana wanawake warembo kama KIGALI?
 
hapa maisha yapo juu tofauti na nyumban,nyumba unapata kuanzia 250usd na kuendelea usafiri kwa daladala kituo hadi kituo ni 1dola,kuhusu madem bei imechangamka kidogo,bei ya bia iko chini kuliko maji ya kunywa,changamoto nyingine ni shida ya maji hasa kwa hapa luanda,ila huko quando kubango,uige,zaire,moxicu,cuanza norte na sud,bengela na namibe kuna unafuu upatikanaji wa maji,kitu kingine shida ni lugha kinatumika kireno na kifaransa kidogo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom