Msaada: Watanzania tunahitaji visa kwenda nchi za Burkinafaso, Siera Leon, na Mali?

green29

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
311
41
Wakuu naomba kuuliza; Hivi tunahitaji visa kutembelea nchi za Burkinafaso, Siera Leon, Mali na Senegal? Kama tunahitaji, swali la nyongeza, je tuna ubalozi wa hizi nchi hapa bongo?
 
Wakuu naomba kuuliza; Hivi tunahitaji visa kutembelea nchi za Burkinafaso, Siera Leon, Mali na Senegal? Kama tunahitaji, swali la nyongeza, je tuna ubalozi wa hizi nchi hapa bongo?

Nitakujibu hilo la kwanza, ni kwamba unahitaji viza kwenda nchi hizo
 
Hi nimefika huko,
Unahitaji VISA yes, ila utapewa ukifika Airport, kwa kuwa hakuna ubalozi wa hizo nchi huko TZ.
What you need most is to understand some French words:
Ninaanza kukupiga reharsal:
Karibu = Bienvenue
Jambo = bonjour
etc,
You need more?
 
Poti nimekifurahia kilugha hicho...Ebu endelea Mkuu!
 
Poti nimekifurahia kilugha hicho...Ebu endelea Mkuu!

Sawa poti,
let’s go! = allons-y!;
go for a walk = aller se promener;
go to bed = aller se coucher;
go to school = aller à l’école;
how’s the work going? = comment va le travail?;
Come here = viens ici
go there = vars laba
nakupenda = Je t'aime?
.
.
.
etc

Ngoja kwanza poti,
Nimekumbuka hapa sio pake poti, watatufukuza hapa sasa hivi watasema twende kwenye jukwaa la lugha kule chini, Anzisha thread ninakuja huko.

Njimba

NB: Dada/kaka green29 ukiwa tayari kuja nijulishe ninaweza kukusaidia zaidi
 
khaaaa!!swali gani hili?
kwani wewe ulitegemea kwenda nchi ya mtu bila visa?labda EA,ata kama hakuna hapa balozi yakibidi uende nchi jirani utafute au uitume kwa western ithin,yangu ya cote d'voire tuulipatia ethipia uko hapo?
na ni kifaransa kwa kwenda mbele adi kituko,ila unakomaa tu ivo ivo!!!
 
NB: Dada/kaka green29 ukiwa tayari kuja nijulishe ninaweza kukusaidia zaidi

Asante mjomba, nikipata nauli ntakuja! Nashukuru kwa darala la kifaransa; nitajitahidi nipitie mashule yako kule kwenye threads za Kilugha nifute ujinga kidogo. Once again, RESPECT!!!!

Kaka Green29
 
Aza, Asante kwa marekebisho, nafikiri nilitakiwa kuuliza utaratibu wa Visa ukoje. Asanteni wakuu
 
Hi nimefika huko,
Unahitaji VISA yes, ila utapewa ukifika Airport, kwa kuwa hakuna ubalozi wa hizo nchi huko TZ.
What you need most is to understand some French words:
Ninaanza kukupiga reharsal:
Karibu = Bienvenue
Jambo = bonjour

etc,
You need more?
what is your name? comment t'apelle?
how old are you? tu as qel age?
hahahaha!
 
Back
Top Bottom