Nakuja..solve by elimination
12/X + 15/Y =7
20/Y + 3/X = 3
karibuni wataalamu
Kama hivyo sioSimple tu.. Zidisha chin mara 4 na juu mara moja.. Then chukua ya chini toa ya juu..
Sina karatas ningesolve
Natanguliza shukran za dhati kwako Mkuu chriss wood. Asante sana Mkuu kwa kuongoza njia kwan nimepata mwanga na kuweza kuliweka sawa swali hilo ingawa kuna sehem nilikosea tendo moja.Kama hivyo sioView attachment 1818614
Fanya hivi:solve by elimination
12/X + 15/Y =7
20/Y + 3/X = 3
Asante sana MkuuFanya hivi:
By Elimination ina maana - epuka unknown moja = ua unkown mojawapo kati ya X au Y.
Hatua ya kwanza andika unknown zikae sawa (Arrange them) bila kuathiri thamani positive or Negative i.e.
12/x +15/y =7
3/x+20/y = 3
Then proceed kama ifuatavyo:
12/x + 15/y = 7 ni sawa na kusema 12/x = -15/y + 7 .......(i)
Pia 20/y +3/x = 3 ni sawa na kusema 3/x = = 3 - 20/y.........(ii)
Sasa pale palipoandikwa 12/x ,Original equation,badala yake andika hapo -15/y + 7; na pale palipoandikwa 3/x, original eqn. sasa andika hapo 3-20/y.
Kwa hiyo ;
kwa kuepuka kuandika au kutumia x sasa tunaweza kuandika
-15/y +7 i,e, nimeitumia hii badala ya kuandika 12/x.
vile vile 3-20/y = 3 badala ya kuandika 3/x.
Kwa hiyo:
(-15/y +7) + 15/y = 7 au ukipenda pia waweza andika 20/y + (3-20/y) = 3.
Sasa chagua kusolve mojawapo ya hizo One variable linear equations.
By removing brackets: -15/y + 7 + 15/y = 7
Pia 20/y+ (3-20/y) = 3
Therefore 20/y + 3 - 20/y = 3 and also -15/y +7+ 15/y =7
Katika eqn. No.(i) utapata 3=3 na eqn. No.(ii) 7=7 such equations are Undefined simultaneous equations or there is no single solution set.
Nawasilisha Mkuu.
1. (a) Haya ni maswali yanayolingana sana na ordinary one variable equations.yap kw lile swali la kwnz"
bado hilo hapo chini; krb mkuu.View attachment 1818772
Part b, convert hizo repeating decimals to fraction then fanya operations. Ukipata jibu rudisha kwenye decimalpia naomba mwongozo kwa haya yafuatayo:-
View attachment 1818739
mkuu hesabu uliishia ngazi gani? Samahani lakini.Fanya hivi:
By Elimination ina maana - epuka unknown moja = ua unkown mojawapo kati ya X au Y.
Hatua ya kwanza andika unknown zikae sawa (Arrange them) bila kuathiri thamani positive or Negative i.e.
12/x +15/y =7
3/x+20/y = 3
Then proceed kama ifuatavyo:
12/x + 15/y = 7 ni sawa na kusema 12/x = -15/y + 7 .......(i)
Pia 20/y +3/x = 3 ni sawa na kusema 3/x = = 3 - 20/y.........(ii)
Sasa pale palipoandikwa 12/x ,Original equation,badala yake andika hapo -15/y + 7; na pale palipoandikwa 3/x, original eqn. sasa andika hapo 3-20/y.
Kwa hiyo ;
kwa kuepuka kuandika au kutumia x sasa tunaweza kuandika
-15/y +7 i,e, nimeitumia hii badala ya kuandika 12/x.
vile vile 3-20/y = 3 badala ya kuandika 3/x.
Kwa hiyo:
(-15/y +7) + 15/y = 7 au ukipenda pia waweza andika 20/y + (3-20/y) = 3.
Sasa chagua kusolve mojawapo ya hizo One variable linear equations.
By removing brackets: -15/y + 7 + 15/y = 7
Pia 20/y+ (3-20/y) = 3
Therefore 20/y + 3 - 20/y = 3 and also -15/y +7+ 15/y =7
Katika eqn. No.(i) utapata 3=3 na eqn. No.(ii) 7=7 such equations are Undefined simultaneous equations or there is no single solution set.
Nawasilisha Mkuu.
Let 1/x = a then 1/y = bsolve by elimination
12/X + 15/Y =7
20/Y + 3/X = 3
Ngazi ya Kiwango cha kutoa ujinga. Lakini naona ujinga hautaki kuniacha. Elimu haina mwisho. Teh-teh.mkuu hesabu uliishia ngazi gani? Samahani lakini.