Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

dah, kuna kupata loss?
Yeah ila kwamm naona loss mpk utakapoamua kuclose position kwa maana na invest kwny strong company ambazo stocks zake zina growth na dividends....market huwa ina uos and downs kwahy downs zake ndio opportunity ya ku buy more ili kuweka dollar cost average ya share yako iwe low na inatokea sana kwahy inashauriwa kuinvest what u can afford to lose. However no risk no reward.
 
inachukua muda gani kupata faida? maana nasikia investment za kwenye stock zinachukua miaka kupata faida.
 
Inategemea na umenunua stocks muda gn...kwa upande wangu nina 60% return in 4 month kwakùa nilinuñua stocks zikiwa bei chee kwahy zilivyoanza kurally zikawà zimeleta hyò return japo dividend zimesaidia ila kwakiasi kdgo sana maana capital haikua kubwa
 
Ila ushauri ni kwamba soma jinsi yakuweza kuanalyse kampuni kutumia financial statements na pitia vitabu vya stocks kama how i made money from stocks utajifunza mengi maana bila elimu inakua kamali
 
Inategemea na umenunua stocks muda gn...kwa upande wangu nina 60% return in 4 month kwakùa nilinuñua stocks zikiwa bei chee kwahy zilivyoanza kurally zikawà zimeleta hyò return japo dividend zimesaidia ila kwakiasi kdgo sana maana capital haikua kubwa
ok, na ukitaka kuuza, unauzia wapi?
 
ok, na ukitaka kuuza, unauzia wapi?
Kuna sell button au option nyngn ni kuclose tu yaan ni instant tu unamaliza kila kitu sio longo longo....na pia vyema ukaangalia broker wakutumia maana kuna fee za kizembe unaweza ziepuka kwahy ukiwa na plan yakutafuta broker trading 212 yuko poa ila unaweza fanya comparison mwnyw depending on your interest. Good luck mkuu
 
So gawio lako unalipwa straight to your absa account ama utaratibu ukoje mkuu?
Na je unaweza wekeza kwenye ETFs & mutual funds?
Don't focus on gawio... Stocks is about selling and buying ndio maana stock ya bongo imedorora Kisa ni hv watu wa nanunua kusubiri gawio kampuni sio lazima itowe gawio.. We unatakiwa ununue shares at low price keep it for long or short time then unaziuza au unamwachia mtu urithi
 
So wakati unasubiri kuziuza usipate kitu? I am not a buying - selling type I always hold for the long term and so kabla sijanunua I most definitely do my research kujua kama kampuni inatoa au haitoi gawio & future outlook yake kama it's a good investment ama la.
And so far nina a mixture of dividend & non dividend paying stocks purposefully!
 
Trading 212 minimum ni 1£....mm nina account kote na nime invest kwny platform zote hzo mbili na more reliable ndio hyo trading 212 zaidi kwa wstu wakipato cha chini
Nimesikia watu wengine wakiisifu kuwa ni bora kuliko hata etoro sema sijaifuatilia.
So unatumia benki gani kwa hapa bongo kufanya hizo transactions?
 
Yah na pia zina fee maana zinakua considered kama CFD'S ila trading 212 nayo iko poa maana unaweza nunua fractional shares hata unit 0.1 lkn kwa etoro haipo
Hii nimeipenda I hope isijekuwa ina mtindo wa ku-freeze hovyo ukiwa unafanya transactions
 
Nimesikia watu wengine wakiisifu kuwa ni bora kuliko hata etoro sema sijaifuatilia.
So unatumia benki gani kwa hapa bongo kufanya hizo transactions?
Yaah ni nzuri kuliko etoro mm nina account etoro na huko trading 212 na etoro ilikua ya kwanza ila siikubali maana withdraw fee etoro ni 5$ minimum withdraw...30$ napia dividend stocks tax ni 30% wakti trading 212 ni 20% pia ETF etoro zinakua considered kama CFD'S na wanakucharge overninght fee wakati hmn hyo kitu kwahuyo mwngn....mm npo nje ya nchi kwahy natumia bank ya huku middle east.
 
Hii nimeipenda I hope isijekuwa ina mtindo wa ku-freeze hovyo ukiwa unafanya transactions
Hii imetulia sijaona review yyte au malalamiko kama hayo ila kwa etoro hayo mambo yapo yapo sometimez na kampuni zinazokua listed wakati wa IPO huwa jamaa hawai add hapo hapo wanakaa hata baada ya saa ndio wana add ndiomaana suluhisho zuri ni trading 212
 
Yaah ni nzuri kuliko etoro mm nina account etoro na huko trading 212 na etoro ilikua ya kwanza ila siikubali maana withdraw fee etoro ni 5$ minimum withdraw...30$ napia dividend stocks tax ni 30% wakti trading 212 ni 20% pia ETF etoro zinakua considered kama CFD'S na wanakucharge overninght fee wakati hmn hyo kitu kwahuyo mwngn....mm npo nje ya nchi kwahy natumia bank ya huku middle east.
Shukrani sana mkuu... hizi details zimenisaidia sana kupata mwanga.
Vipi ushaijaribu Robinhood au huko haijafika bado?
 
Hii imetulia sijaona review yyte au malalamiko kama hayo ila kwa etoro hayo mambo yapo yapo sometimez na kampuni zinazokua listed wakati wa IPO huwa jamaa hawai add hapo hapo wanakaa hata baada ya saa ndio wana add ndiomaana suluhisho zuri ni trading 212
Na mimi haya malalamiko kuhusu etoro nilishayaonaga sehemu ndo maana nikasema
 
Shukrani sana mkuu... hizi details zimenisaidia sana kupata mwanga.
Vipi ushaijaribu Robinhood au huko haijafika bado?
Pamoja sana....robinhood haijafika huku ipo america tu maana hata UK walitaka kulaunch kwaajl ya Europe ila ilishindikana maana kulikua na hitilafu na volatility ya corona ikapelekea mambo yasiende sawa maana platform ilihelemewa na watu walipoteza fursa kwahy scandal zikawa nyng nadhani wanaweza anza kuieneza miaka inayokuja
 
Na mimi haya malalamiko kuhusu etoro nilishayaonaga sehemu ndo maana nikasema
Mm sikuyajua aisee ss nakuja kujua nisha deposit na nina stocks kama za NIO ambazo nimetoka nazo mbali nimeona nibaki nayo tu ila nafuatilia km kuna possibìlity yaķuhamisha position zngu kma zilivyo kutoka etoro kwenda trading 212 nifanye hvyo
 
Dah! Hiyo nuksi mzee... ndo maana najitahidi kutoingia kichwakichwa aisee.
Ila kama umeiwahi NIO pongezi tele mkuu
 
Back
Top Bottom