Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 4,838
- 8,673
dah, kuna kupata loss?Risk what u can afford to lose japo ETF ni more safe kuliko individual stock na usi invest based on what people fanya research yako
dah, kuna kupata loss?Risk what u can afford to lose japo ETF ni more safe kuliko individual stock na usi invest based on what people fanya research yako
Yeah ila kwamm naona loss mpk utakapoamua kuclose position kwa maana na invest kwny strong company ambazo stocks zake zina growth na dividends....market huwa ina uos and downs kwahy downs zake ndio opportunity ya ku buy more ili kuweka dollar cost average ya share yako iwe low na inatokea sana kwahy inashauriwa kuinvest what u can afford to lose. However no risk no reward.dah, kuna kupata loss?
inachukua muda gani kupata faida? maana nasikia investment za kwenye stock zinachukua miaka kupata faida.Yeah ila kwamm naona loss mpk utakapoamua kuclose position kwa maana na invest kwny strong company ambazo stocks zake zina growth na dividends....market huwa ina uos and downs kwahy downs zake ndio opportunity ya ku buy more ili kuweka dollar cost average ya share yako iwe low na inatokea sana kwahy inashauriwa kuinvest what u can afford to lose. However no risk no reward.
Inategemea na umenunua stocks muda gn...kwa upande wangu nina 60% return in 4 month kwakùa nilinuñua stocks zikiwa bei chee kwahy zilivyoanza kurally zikawà zimeleta hyò return japo dividend zimesaidia ila kwakiasi kdgo sana maana capital haikua kubwainachukua muda gani kupata faida? maana nasikia investment za kwenye stock zinachukua miaka kupata faida.
Ila ushauri ni kwamba soma jinsi yakuweza kuanalyse kampuni kutumia financial statements na pitia vitabu vya stocks kama how i made money from stocks utajifunza mengi maana bila elimu inakua kamaliinachukua muda gani kupata faida? maana nasikia investment za kwenye stock zinachukua miaka kupata faida.
ok, na ukitaka kuuza, unauzia wapi?Inategemea na umenunua stocks muda gn...kwa upande wangu nina 60% return in 4 month kwakùa nilinuñua stocks zikiwa bei chee kwahy zilivyoanza kurally zikawà zimeleta hyò return japo dividend zimesaidia ila kwakiasi kdgo sana maana capital haikua kubwa
Kuna sell button au option nyngn ni kuclose tu yaan ni instant tu unamaliza kila kitu sio longo longo....na pia vyema ukaangalia broker wakutumia maana kuna fee za kizembe unaweza ziepuka kwahy ukiwa na plan yakutafuta broker trading 212 yuko poa ila unaweza fanya comparison mwnyw depending on your interest. Good luck mkuuok, na ukitaka kuuza, unauzia wapi?
Don't focus on gawio... Stocks is about selling and buying ndio maana stock ya bongo imedorora Kisa ni hv watu wa nanunua kusubiri gawio kampuni sio lazima itowe gawio.. We unatakiwa ununue shares at low price keep it for long or short time then unaziuza au unamwachia mtu urithiSo gawio lako unalipwa straight to your absa account ama utaratibu ukoje mkuu?
Na je unaweza wekeza kwenye ETFs & mutual funds?
So wakati unasubiri kuziuza usipate kitu? I am not a buying - selling type I always hold for the long term and so kabla sijanunua I most definitely do my research kujua kama kampuni inatoa au haitoi gawio & future outlook yake kama it's a good investment ama la.Don't focus on gawio... Stocks is about selling and buying ndio maana stock ya bongo imedorora Kisa ni hv watu wa nanunua kusubiri gawio kampuni sio lazima itowe gawio.. We unatakiwa ununue shares at low price keep it for long or short time then unaziuza au unamwachia mtu urithi
Nimesikia watu wengine wakiisifu kuwa ni bora kuliko hata etoro sema sijaifuatilia.Trading 212 minimum ni 1£....mm nina account kote na nime invest kwny platform zote hzo mbili na more reliable ndio hyo trading 212 zaidi kwa wstu wakipato cha chini
This i agree with 100%Risk what u can afford to lose japo ETF ni more safe kuliko individual stock na usi invest based on what people fanya research yako
Hii nimeipenda I hope isijekuwa ina mtindo wa ku-freeze hovyo ukiwa unafanya transactionsYah na pia zina fee maana zinakua considered kama CFD'S ila trading 212 nayo iko poa maana unaweza nunua fractional shares hata unit 0.1 lkn kwa etoro haipo
Yaah ni nzuri kuliko etoro mm nina account etoro na huko trading 212 na etoro ilikua ya kwanza ila siikubali maana withdraw fee etoro ni 5$ minimum withdraw...30$ napia dividend stocks tax ni 30% wakti trading 212 ni 20% pia ETF etoro zinakua considered kama CFD'S na wanakucharge overninght fee wakati hmn hyo kitu kwahuyo mwngn....mm npo nje ya nchi kwahy natumia bank ya huku middle east.Nimesikia watu wengine wakiisifu kuwa ni bora kuliko hata etoro sema sijaifuatilia.
So unatumia benki gani kwa hapa bongo kufanya hizo transactions?
Hii imetulia sijaona review yyte au malalamiko kama hayo ila kwa etoro hayo mambo yapo yapo sometimez na kampuni zinazokua listed wakati wa IPO huwa jamaa hawai add hapo hapo wanakaa hata baada ya saa ndio wana add ndiomaana suluhisho zuri ni trading 212Hii nimeipenda I hope isijekuwa ina mtindo wa ku-freeze hovyo ukiwa unafanya transactions
Shukrani sana mkuu... hizi details zimenisaidia sana kupata mwanga.Yaah ni nzuri kuliko etoro mm nina account etoro na huko trading 212 na etoro ilikua ya kwanza ila siikubali maana withdraw fee etoro ni 5$ minimum withdraw...30$ napia dividend stocks tax ni 30% wakti trading 212 ni 20% pia ETF etoro zinakua considered kama CFD'S na wanakucharge overninght fee wakati hmn hyo kitu kwahuyo mwngn....mm npo nje ya nchi kwahy natumia bank ya huku middle east.
Na mimi haya malalamiko kuhusu etoro nilishayaonaga sehemu ndo maana nikasemaHii imetulia sijaona review yyte au malalamiko kama hayo ila kwa etoro hayo mambo yapo yapo sometimez na kampuni zinazokua listed wakati wa IPO huwa jamaa hawai add hapo hapo wanakaa hata baada ya saa ndio wana add ndiomaana suluhisho zuri ni trading 212
Mzee hakuna kitu kina faida tu always 😄dah, kuna kupata loss?
Pamoja sana....robinhood haijafika huku ipo america tu maana hata UK walitaka kulaunch kwaajl ya Europe ila ilishindikana maana kulikua na hitilafu na volatility ya corona ikapelekea mambo yasiende sawa maana platform ilihelemewa na watu walipoteza fursa kwahy scandal zikawa nyng nadhani wanaweza anza kuieneza miaka inayokujaShukrani sana mkuu... hizi details zimenisaidia sana kupata mwanga.
Vipi ushaijaribu Robinhood au huko haijafika bado?
Mm sikuyajua aisee ss nakuja kujua nisha deposit na nina stocks kama za NIO ambazo nimetoka nazo mbali nimeona nibaki nayo tu ila nafuatilia km kuna possibìlity yaķuhamisha position zngu kma zilivyo kutoka etoro kwenda trading 212 nifanye hvyoNa mimi haya malalamiko kuhusu etoro nilishayaonaga sehemu ndo maana nikasema
Dah! Hiyo nuksi mzee... ndo maana najitahidi kutoingia kichwakichwa aisee.Mm sikuyajua aisee ss nakuja kujua nisha deposit na nina stocks kama za NIO ambazo nimetoka nazo mbali nimeona nibaki nayo tu ila nafuatilia km kuna possibìlity yaķuhamisha position zngu kma zilivyo kutoka etoro kwenda trading 212 nifanye hvyo