Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

Ingia jaza issue zote zinazohitajika then utawaona brokers ambao wataweza kuku guide ila tatzo la stocks za Tanzania hazina info za kutosha kabisa zinaendeshwa kwa kisiasa Ila mm natumia etoro app niliwekeza kwenye app ya zoom kwa miez mitatu nimepata pesa nzuri
Mjomba eleza kwa kirefu sio wote tulipata one form 4
 
Jaman tupeni elimu kuhusu izi investment hasa stocks za nje,mi naonaga sijui bonds, futures,efts options sijui ni vitu gani ila nataman kuvijua,au tupeni channel yenye elimu Kama hizi tukajifunze ,au an recommend books about these issues,
Uchumi wa Kati unatueomesha namba
Uliyesema itaunda telegram channel vipi ?watu tuna kiu ya maarifa jaman
 
Tupo wengi mkuu tunasubiri hizi elimu wenye nazo wanakaza aise,nimejaribu YouTube wengi wanatoa tu stock analysis kwa wanaonza bado ishu kujua
 
Mkuu ombi langu kwako unipe intro tu wap kwa kuanzia maana yale masijui candlesticks nataka nianze Ila nafel hapo tu kujua ,njia nzur ya kuanza.
Kama una invest ni vyema ukajifunza khs fundamental na technical analysis...cha kwanza angalia kipi rahc kwako ambapo nadhani fundamental ni rahc zaidi maana ujifunze kusoma financial statements na kisha ndio uingie kwny technical. Ila pia pata basic nzima ya stocks na kujua vitu muhimu then nďio uingie humo
 
Mkuu, me naona Hii issue n nzr Sana. Me Tangu kitambo nawaza kuhus UTT ila Imani yangu ilinipa Wakt mgumu. Kumbee Kuna sehemu mkuu unatengeneza faida tu na wala sio Haramu, Niruhusu mkuu nije inbox unipe ABC'S na miongozo ya kupata kipato kupitia hizi Investment
 
Uliyesema itaunda telegram channel vipi ?watu tuna kiu ya maarifa jaman
Nilipendekeza telegram sababu ya usiri wa watu kwani sio kila mtu atakuwa tayari kutoa namba yake nk....na hata kama wengine hatuna shida kufanya hivyo itawazuia wasiotaka kusambaza namba zao kujiunga.

Plus telegram ina uwezo wa kuchukua watu wengi zaidi ya WhatsApp so kama watu wataongezeka zaidi mbeleni itabidi aidha litengenezwe group lingine au itabidi mhamie tu telegram
 
Back
Top Bottom