msaada wataalam

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
385
104
habari ya leo JF members. Naomba msaada, jinsi ya kurudisha colour ya TV wakati dvd ina play. Mwanzo ilikua na rangi vzr tu. Ila nashangaa kila cd nikiweka inaonyesha black n white.
Thanx in adv
 
Back
Top Bottom