msaada wataalam wa uchumi na wahasibu.

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,096
920
naamini wachumi na wahasibu mtanishauri maana ndo mna ujuzi.mi nimemalza form 6 ECA na
kugpata econ c,acount c ,comm
d,bam s.mi napenda sana kuwa
economist pia accountant,lakn
inabidi nchague kimoja,sasa
naomba msaada kozi ipi nzuri na
itanitoa kati ya bachelor of
accounting and finance Vs bsc
Economics.pia katika chuo kipi?
nawasilisha.
 
Chukua BSc. AEA, Inapatikana SUA. Utasoma Economics, Marketing na Biashara. AEA ni Agricultural Economics and Agribusiness
 
Muamuzi ni wewe mwenyewe ila unatakiwa kupewa maeleza ya kukusaidia, mimi ninataka ujue kitu kimoja ukichagua degree ya uhasibu jua kwamba ata uwe na PHD hutambuliki kama ni mhasibu kisheria mpaka usome CPA au ACCA, Kwa hiyo ukichagua uhasibu ili uweze kufika mbali lazima usome CPA, na hii kuipata kirahisi inatakiwa unaelewa unachokisoma sio kukariri kariri kama wakati wa kusoma degree, ukiwa si muelewa kikamilifu unaweza soma CPA kwa muda mrefu uliosoma nao chuo wenzio hadi wanamaliza PHD wewe bado unaangaika na mitihani ya CPA kutoka NBAA
 
Piga acounts & finance alafu ukomaliza unapiga mba, hapo utapiga mpunga wakutosha bila shida yaani unatiririka kama dalali wa airtel!
 
Wewe dogo,piga Economics,ni nzuri sana.uzuri mmojawapo wa hyo kozi kwamba unafanya kazi zote zinazohusiana na business+social science.
 
achana na izo sijui economist au accountant we komaa na CPA tu mpaka uipate!
 
Nikwambie kitu we soma degree ya accounts... ucwaze khs cpa.. utaipata tu as long as una determination... me mwenyw nlisoma hgl but am in the field.. trust me accounting is a very rewarding profession... Ina options nying sn(unaeza kuwa Accountant, auditor, tax expert, trainer ,financial analyst etc )..unaeza kufanya kazi even beyond retirement age.. kuna mzee mmoja he is my mentor,almost 80 yrs old now..he started as government auditor,lecturer and now he has his own audit firm
 
ushauri wote unaopewa hapa ni mzuri sana na unawezathibitisha kwa wale wote unaowafahamu wanaofanyakazi ktk field tajwa hapo juu then utaconclude mwenyewe!
 
ukiwa na bcom alafu ukapata masters labda ya finance bila CPA maana yake NBAA hawakutambui wewe kama mhasibu ukiwa na vyote 3 ni advantage zaidi so anza na CPA au hata ACCA.
 
soma economics dogo, ukimaliza ukitaka chochote hata CPA au ACCA unaweza soma tuu
 
ukiwa na bcom alafu ukapata masters labda ya finance bila CPA maana yake NBAA hawakutambui wewe kama mhasibu ukiwa na vyote 3 ni advantage zaidi so anza na CPA au hata ACCA.

Well, ACCA ina route y kufanya Bsc na Msc at the same time, Hii inatolewa in conjuction with Oxford Brookes University.

Nikiwa mimi ni bora nisomee ACCA toka mwanzo ukimaliza 8 papers you're entitle for Bsc utakiwa tu unafanya project then you go on to finish the rest unaweza ukapata Msc in total kuna 14 papers.

As I said before taarisha kichwa chako....all the best. Finance snd Accountng utafanya kazi kokote, economics you're limiting yourself.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom