Msaada: Wataalam wa solar energy

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
2,926
3,054
Ni solar panel na betri ya namna gani ambayo itaweza kuwasha taa tatu na kuchaji simu mbili kwa wakati mmoja?
 
You need power of not less than 800w and invetor.
Solar panels ni za aina yoyote zenye uwezo wa kutoa 12v na current not less than 8A
 
Solar panel watt 30,
Battery 12V18AH
vinatosha kufanya hiyo kazi. Tumia taa za 1W.
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Zile chaja bila kutumia inveter zinaharibu betri
Sioni logic kwa nini chaja isiyotumia inverter ziharibu betri kwani haijalishi unatumia Inverter au la, current consumption ni ile ile. In fact kwa kutumia inverter current consumption inabidi iwe kubwa kwani na inverter yenyewe inakula umeme. Nitakubali tu ikiwa una overload na hapo ndipo inverter ina provide protection ya betri.
 
Sawa we umeona logic...mi nimeona field ...betri za simu Zina vimba.... weka utaleta mrejesho
 
Ni solar panel na betri ya namna gani ambayo itaweza kuwasha taa tatu na kuchaji simu mbili kwa wakati mmoja?
Nunua polycrystaline 50 w na battery N40 iwe dry cell, nunua chaja controller, nunua LED lamp 3w tatu, nunu dc phone charger. Utakuta umemaliza. Itaweza kwenda hadi siku 4 bila kuhitaji kuchsj
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom