Msaada wataalam wa computer

soskeneth

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
583
235
Nina computer yangu Aina ya Dell, sasa cha kushangaza nikiwasha Utakuta monitor inatoa tu mwanga wa njano halafu haiwash screen na kwa wakat huo CPU inanguruma sana, naomben msaada wenu sijajua tatizo ni nn
 
Tafuta browser toa vumbi...pia change VGA cable ..then washa tupe majibu yake ikiendelea nitakupa solution zaidi..
 
Monitor ipo sawa ila hakuna signal toka kwa machine, inawezekana ni power supply pia. Cha msingi angalia kama mwanga unaotoka kwenye power switch una sign yoyoye ikiwa ni kukariri mwako wake na kama unapowasha inatoa beep yoyote basi itakuwa vyema kusaidia kujua tatizo
 
Back
Top Bottom