Msaada wataalam jinsi ya kuondosh vishimo pamoja na makovu ya chunusi usoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wataalam jinsi ya kuondosh vishimo pamoja na makovu ya chunusi usoni

Discussion in 'JF Doctor' started by faszar, Sep 4, 2012.

 1. faszar

  faszar Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni msaana kipindi cha nyuma nlisumbuliwa sana na chunusi, nashkuru shv nimepoa but zmeacha madoa mengi usoni mwangu, makovu pamoja na vishimo vya chunusi. Naombeni msaada wa jf.
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kula chakula chenye Vitamin E kwa wingi, ikiwa ni pamoja na mboga mboga za majani kama mchicha na broccoli pamoja na matunda kama parachichi, papai na zaituni

  Wataalamu wa ngozi wanapendekeza pia utumiaji wa matango
   
 3. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,187
  Trophy Points: 280
  Pia mie hili tatizo la vishimo nnalo,msaada tafadhari.
   
 4. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alright! Nunua dawa iitwayo " No Scar" ni cream, Reduces & Removes Scar, Post Pimples scars, Stretch Scars, Burn Scars, Dark Circles under the eyes.
  Apply on the affected area 2-3 times a day and massage gently till the cream is fully absorbed. Do it especially at bed time. Bei yake ni 5000/=
   
 5. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dawa ni matunda na kunywa maji mengi, kumbuka kazi ya maji pia huifanya ngozi kuwa nyororo, vile vile local scrubs inasaidia
   
 6. faszar

  faszar Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx nimekusoma.
   
 7. faszar

  faszar Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx but hyo dawa tayari kuna cster wangu katumia but haikumpa nafuu. Kama kuna dawa nyngne tujuvye tafadhali.
   
 8. faszar

  faszar Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  swala la maji me najitahdi sana zaidi ya 2.5 lter per day nakunywa.
   
 9. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi dawa na cream/mafuta ya kupaka haiondoI scars/vishimovitokanavyo na makovu ya chunusi kwenye ngozi.Utasikia mara tumia Bio Oil etc.Hizi haziondoi tatizo.
  Kama mashimo ni makubwa sana basi ukiweza kafanye laser treatment kwa ngozi iliyoathiriwa.
  Cha kufanya jitahidi sana kula mboga na matunda na kunywa maji, kama walivyoshauri wengine.
  Pia kuwa na kawaida ya kufanya treatment ya uso, fanya facials na uwe na kawaida ya kutumia toner unapoosha uso wako.Epuka kulala na make up.
   
 10. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  binadamu anashauriwa kunywa lita 5 kwa siku. Ongeza maji
   
 11. faszar

  faszar Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahasante sana.
   
 12. faszar

  faszar Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanx ntajitahd kuengeza.
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hapana hilo si sahihi.

  Unatakiwa unywe gilasi nane ambazo ni baina ya lita moja na nusu hadi mbili

  Maji yakiwa mengi mwilini pia si mazuri
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  si damu itakuwa diluted sasa lol

   
 15. kitwala

  kitwala JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,461
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  Local scrubs ni kama zipi? ingekuwa vzur kama ungeeleza znavyotengenezwa na matumizi pia
   
 16. m

  makeda JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Try kutumia unga wa dengu.unamix unga wa dengu na maji unakuwa si mwepesi sana wala mzito sana unapaka unaacha unakaukia,huwa inavuta sana ngozi,then unaosha.
  Pia unaweza kuscrub uso kwa tumia sukari unamix na asali na olive oil hii pia inasaidia kumoisturize ngozi.
   
 17. faszar

  faszar Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank u sana napenda sana dawa za asili naamini haziwezi kuniletea madhara.
   
 18. a

  amigooo Senior Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hello! Tatizo lako siyo kubwa ni tatizo ambalo linaweza kuondolewa kwa kutumia product(bidhaa) ambayo imeandaliwa kiasilia na isiyokuwa na madhara kwenye ngozi. Zipo lotion na cream muhimu kwa ajili ya kusafisha ngozi kwa kuondoa cell zilizokufa na kuacha ngozi nyororo yenye kupendeza. Tuwasiliane kwa email healthwealthfirst@gmail.com pia namba 0713889162
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Angalia hayo ma-cream unayoambiwa upake. Hakikisha unasoma kikaratasi cha maelezo na kuelewa terminologies zilizopo, zingine ni sumu kabisa na mtengenezaji anajieleza wazi wazi.
   
 20. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Umemaliza. Kazi kwake.
   
Loading...