memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 252
- 153
Kuhusu admission letter kuna aliechaguliwa Diploma UDOM na amepata admission letter mbona kila nikiangalia kwa profile ya dogo hamna chochote na muda unasonga maana nasikia Degree zishatoka. Isije ikawa profile ya dogo inashida halafu nashangaaa tu.