Msaada was kisheria

franknombo

Senior Member
Mar 30, 2019
170
160
Naomben msaada Luna mdogo wangu Leo amekamatwa na not I bandia ya shilingi elfu 10 yy anadai alipewa malipo ya kaz kama laki moja ndpo alipopewa hyo pesa. Je sheria gan itatumika ili aweze kuwa huru, he akipatkana na hatia anaweza kuchukuliwa hatua gan kisheria
 
Muhujumi uchumi huyo,atatueleza zingine zipo wapi..
Amekamatwa na nani ?
 
Muhujumi uchumi huyo,atatueleza zingine zipo wapi..
Amekamatwa na nani ?
Mkuu hivi visanga usiombe vikakutokea maana kwa jinsi jamii yetu tunavyoishi kesi kama hiyo inamlalia mtu yeyote

Unaweza jikuta umepokea hela halafu ndio hivyo tena
 
Back
Top Bottom