Msaada: wapi nitaweza fanyiwa operation isiyoacha kovu kubwa?

nisile23

JF-Expert Member
Apr 11, 2013
440
176
Habari ndugu zangu. Poleni na majukumu:
Naomba msaada kujua hospital gani kwa Tanzania imeendelea kwa kufanya operation ya mjamzito bila kuacha kovu kubwa? Iwe ya private au government ambayo imeendelea kiteknolojia katika suala la operation kwa Dar.Asanteni sana
 
Ni hospitali zote tu ni kuwaambia unavotaka watafanya
Asante sana nina operation mbili tayari nilifanyiwa local hospital zimenipa majeraha ambayo yanatisha kwa kweli.ndo maana kwa sasa nimeamua kujipanga kwa vyovyote nipate operation ambayo haitaniachia alama nasikia tu kuwa utaalam huo upo nchini kwa baadhi ya hospital
 
Unawapangia ma doctor? btw nenda mfuate mmeo akufanyie operation
Asante kwa kuchangia siwezi mpangia docta ila nimeuliza kama utaalamu wa kupunguza ukubwa wa kovu inawezekana.asante kwa kuchangia pia
 
Hospital zote madactor wanaweza ila unatakiwa uongeze pesa wakutafutie nyuzi zilizo standard mkuu.....
Unatika na kovu kama msitar wa kiwembe tu ...after few days unafutika kuna dawa utakuwa unapaka..
 
Hospital zote madactor wanaweza ila unatakiwa uongeze pesa wakutafutie nyuzi zilizo standard mkuu.....
Unatika na kovu kama msitar wa kiwembe tu ...after few days unafutika kuna dawa utakuwa unapaka..
asante ndugu yangu kwa ushauri wako.barikiwa
 
Back
Top Bottom