Hii maana yake elfu 75 au laki saba na nusu? Zinauzwa wapi na inakubali line yoyote?Zipo niliona wanauza 75K
Hiyo ni 75,000 tu na niliona tangazo lao fb.Ngoja nitafute nitakujulishaHii maana yake elfu 75 au laki saba na nusu? Zinauzwa wapi na inakubali line yoyote?
Nakumbuka mwaka jana nilizunguka maduka yote hadi IBM miaka mlimani city mall sikupata. Sanasana halotel walikuwa na zenye kukubali line zao tuu na bei ilikuwa tsh laki 3 halafu hakuna warranty.
Asante sana.Hiyo ni 75,000 tu na niliona tangazo lao fb.Ngoja nitafute nitakujulisha
Asante mkuu..ngoja nitapita huko!!
Mkuu chukua hiyo namba iko hapo juu uwasiliane naoAsante sana.