MSAADA: Wapi nitapata kununua mashine za kutengeneza pop con ?

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Wakuu umuofia kwenu,

Natambua jforum kuna wajuzi wa mambo mengi, naomba kujuzwa wapi nitapata maduka ya hizi mashine za pop corn kuanzia watt 1300, je kwa kkoo nitapata ? Ni mitaa gani au maeneo gani mengine naweza kuzipata, natapenda pia kupata sehemu ambazo ni legit na affordable. Unaweza pia kunijuza makisio ya bei kwa mahali ulipotaja.

Shukran
 
Kkoo zipo mimi niliwah nunua yale maduka ya barabaran ukiwa unaelekea china plaza toka Agrey, bei ni 300k mpka 350k sikumbuki exactly figure.
 
Nashukuru mkuu, je unakumbuka ilikua na uwezo gani yani watts ngapi ?! Na je mkuu zipi changamoto za biashara hii ?

Kkoo zipo mimi niliwah nunua yale maduka ya barabaran ukiwa unaelekea china plaza toka Agrey, bei ni 300k mpka 350k sikumbuki exactly figure.
 
Watts sikumbuki, ila umeme ilikuwa inakula kawaida tu..
Ukipata location nzuri faida ipo, ila lazima ujiongeze uwe na hizi za chumvi, na utengeneze zile za kopo zenye chocolate.
Kingine unaongea na watu wenye hizi min market, hizo za kopo unakuwa unatengeneza kwa order na unawauzia kwa jumla.
 
Wakuu umuofia kwenu,

Natambua jforum kuna wajuzi wa mambo mengi, naomba kujuzwa wapi nitapata maduka ya hizi mashine za pop corn kuanzia watt 1300, je kwa kkoo nitapata ? Ni mitaa gani au maeneo gani mengine naweza kuzipata, natapenda pia kupata sehemu ambazo ni legit na affordable. Unaweza pia kunijuza makisio ya bei kwa mahali ulipotaja.

Shukran
Mtafute jamaa anaitwa Boloyoung aliwahi kujieleza humu kwamba yeye ni mtaalam wa hiyo kitu anatengeneza mpaka zinazotumia gas.
 
Back
Top Bottom