Msaada: Wapi nitapata GTX 750ti

chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
142
195
Msaada jamani,

Mimi so mwenyewe wakuangiza vitu toka nje hivyo uwa nanunua hapa hapa nyumbani. Kama kuna mtu anaweza kujua upatikana wa hio GPU au anayo plz anichek
 
chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
142
195
Pia wapi nitapata processor ya core i5 au 7, nipo kwenye upgrade machine yangu hivyo bado natafuta vitu muhim wakuu msaada wenu plz
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
7,100
2,000
nyumbani jau, maana bei inakua juu mno, 750ti nilidaka kwa 100k kutoka Aliexpress na ina miaka 2 sasa

kwa hapa labda upate anaeuzia shida, or else iyo bei zidisha mara 3 au 4 kabisa
 
troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
15,308
2,000
Tengeneza MasterCard za mitandao ya simu M-pesa airtel mastercard. Agiza online haizidi laki na nusu alliexpress.
 
chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
142
195
nyumbani jau, maana bei inakua juu mno, 750ti nilidaka kwa 100k kutoka Aliexpress na ina miaka 2 sasa

kwa hapa labda upate anaeuzia shida, or else iyo bei zidisha mara 3 au 4 kabisa
uwagizaji wake unakuwaje mkuu embu tujuzane hapo
 
chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
142
195
nyumbani jau, maana bei inakua juu mno, 750ti nilidaka kwa 100k kutoka Aliexpress na ina miaka 2 sasa

kwa hapa labda upate anaeuzia shida, or else iyo bei zidisha mara 3 au 4 kabisa
na vipi ukinunua used zake mtandao zinaubola maana naona bei yake imechangamka kidg
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,100
2,000
dah sawa wakuu na vp kuusu processer xi zinapatikana hapa hapa
Processor nimenunua Agrrey i7 4790 kwa 80,000 inategemea na gen ya motherboard yako.

Ila kibongo bongo ni vyema ununue processor kwanza then ndio ununue desktop hiii inakuwa rahisi. Ila ukinunua Desktop kisha Ukianza kutafuta Processor unajipa Headache hasa vile kuna gen takriban 8 ambazo desktop used zipo.

Gen ya 1 i7 zipo hadi 50,000.

Gpu kuagizia nje tu, gpu rahisi ambayo angalau ina nguvu kidogo ni Gt 1030 kwa 290,000 utaipata City Mall epiccomputers.

Maduka mengine mjini watu wanapigwa GT 610 hadi laki 4 na zaidi, kifupi kununua Gpu tz kunataka moyo sana bei ni ghali.

Kama wadau walivyoshauri gtx 750 ti used ni chini ya 150k aliexpress, pia Amd rx 550 ni Alternative yake.

Alternative kama kuna mtu unamjua anasafiri nje Dubai Airport Gpu bei rahisi sana tax free, kama kuna mtu anatoka popote duniani ndege ikisimama pale ananunua.
 
kaka yangu ni 4then embu nipe maelekezo kidogo na meme nikanunue boss
 
na vipi kuusu kununua online maana me sina hata kard ya benki mkuu
 
chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
142
195
kwa mfano kama nikiitaj hii inakuwaje View attachment 1507187
Screenshot_2020-07-15-09-02-48.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom