Msaada: Wapi nawezapata housing ya redio ya Carina SI?

Madewa

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
465
168
Hello wakuu.

Ninahitaji spare part - housing ya redio ya Carina SI. Je, huwa zinapatikana kwenye maduka ya spare parts? Bei yake?
Naambatanisha na picha ya sehemu husika hapo chini.

Aksanteni sana.

Screenshot_20200514-193854~2.jpeg
 
Back
Top Bottom