Msaada: Wapi naweza kusafisha negative za picha hiz

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
549
608
Naomba kwa anayefahamu mahali naweza safisha negativu za picha anielekeze.Nipo Dar es Salaam
JPEG_20210608_145217_8257722282058975505.jpg
 
Hata Mimi ninazo tele nilijisahau technologia ikapita nasikia mikoani au wilayani waweza pata analogue mashine
 
Back
Top Bottom