Msaada wapi naweza kununua mashine yenye kushona na kudalizi USED!

Song'ito

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
347
250
Habari wna jamvi, kuna ndugu yangu anafanya kozi ya kushona na kudarizi, sasa anahitaji mashine inayoshona na kudarizi, naomba msaada wapi naweza kuinunua na inaweza kuwa shilingi ngapi!!
Natanguliza shukrani..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom