Msaada: wapi naweza fanya checkup na kupata tiba ya uhakika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: wapi naweza fanya checkup na kupata tiba ya uhakika?

Discussion in 'JF Doctor' started by tindikalikali, Nov 11, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wadau naomba mnijuze hospital nzuri ambayo naweza pata matibabu ya uhakika. Ni zaidi ya mwaka sasa nasumbulia na malaria na sijawahi pata nafuu hata siku moja. Kwa sasa nimepata offer ya kutafuta mahali pa uhakika pa kutibiwa. Naomba msaada wenu
   
 2. hirorobert

  hirorobert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole na malaria,je umepima? na ukipima mara kwa mara umekuwa unakutwa na ngapi? na je unatumia dawa sahihi? na huwa unacheki Typhoid eleza vizuri naweza kukusaidia nina utaalam na hilo kidogo
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu asante, malaria huwa nakutwa nayo, ila bahati mbaya huwa siambiwi/siulizi ni ngapi na kwa sasa sijapima ila ni dalili zote za malaria. Kuhusu typhoid nimepima mara nyng na sijawahi kutwa nayo.
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kuhusu usahìhi wa dawa siwezi nikasema, lakini huwa najitahidi kumaliza dozi.
   
 5. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu kama umepata offer si uende INDIA!
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mh offer ni ya hapa hapa mkuu, sina undugu na akina Mwa
   
Loading...