kuna wakati nilishakaaga Dodoma!! Nyuma ya Jengo la bank ya NBC kuna Guest kibao za bei uliotaja!! mtaa wote huo karibia ni Guest nimesahau jina la mtaa!!
kuna wakati nilishakaaga Dodoma!! Nyuma ya Jengo la bank ya NBC kuna Guest kibao za bei uliotaja!! mtaa wote huo karibia ni Guest nimesahau jina la mtaa!!
Ni mixer zote zipo hapo so ni bei yako ila hotel kwa 25 unapata tu nzuri ila usiende tu wakati wa Bunge!! Zinajaa zote!Asante sana mkuu. Guest huwa naziogopa kidogo hasa kwenye suala la usalama. Napenda kukaa Hotelini zaidi.
VETA Hotel, ROCK Hotel, MARRYLAND Hotel...etcNashukuru sana mkuu. Unakumbuka jina hata la Hoteli mojawapo?
Msaada wandugu.
Kwa wenyeji wa Dodoma au kuujua mji wa Dodoma. Napenda kujua Hoteli za bei nafuu around 10,000/= to 25,000/=. Maeneo zilipo na Contact zao.
Cana Lodge ( 25,000/) kwa siku
Mvita barabara ya nane
Imagi Inn karibu na Uwanja na Jamhuri
Dear mama ( Arusha Road)
Desert Palm resourt (Area D) Sh 25 - 40,000/=
Grand Hotel (Opposite na Soko Kuu Majengo) Sh 30 - 35
Address na simu tazama kitabu cha simu cha TTCL
Na recommend hotl zifuatazo, huwa nafikia hapo, ni pazuri, hata ukitaka huduma zingine wanakupa kijana wa kukusaidia kuzipata (mfano kuku wa kienyeji wa kuchoma, sehemu nzuri za kupata serengeti baridiiii, n.k.);
Rock hotel TZS. 25,000 to 35,000
Grand Hotel Tzs. 30,000 to 40,000