Msaada wandugu

Mazingira

JF-Expert Member
May 31, 2009
1,833
298
Msaada wandugu.
Kwa wenyeji wa Dodoma au kuujua mji wa Dodoma. Napenda kujua Hoteli za bei nafuu around 10,000/= to 25,000/=. Maeneo zilipo na Contact zao.
 
Jamani hamna wenyeji wa Dodoma au mwenye kuujua vizuri mji wa Dodoma? Please I need your help.
 
kuna wakati nilishakaaga Dodoma!! Nyuma ya Jengo la bank ya NBC kuna Guest kibao za bei uliotaja!! mtaa wote huo karibia ni Guest nimesahau jina la mtaa!!
 
Asante sana mkuu. Guest huwa naziogopa kidogo hasa kwenye suala la usalama. Napenda kukaa Hotelini zaidi.
 
Lakini akumbuke kuwa bure siku zote aghali,
 
Asante sana mkuu. Guest huwa naziogopa kidogo hasa kwenye suala la usalama. Napenda kukaa Hotelini zaidi.
Ni mixer zote zipo hapo so ni bei yako ila hotel kwa 25 unapata tu nzuri ila usiende tu wakati wa Bunge!! Zinajaa zote!
 
Nashukuru sana mkuu. Unakumbuka jina hata la Hoteli mojawapo?
 
usijali mkuu tuliokuli huo mkoa tupo na tayari kukupa msaada, kwa sasa niko kikazi dar es salaam nicheki kwa namba 0713 32 77 13 nikuunganishe na best yangu anafanya kazi benki moja huko dodoma atakupatia msaada wote,

karibu
 
Zipo tu ila sio za elfu kumi angalau hizo za kuanzia 25,000.00 unaweza kuumwa kunguni mpaka ukaijutia hiyo elefu 10,000.00
 
Msaada wandugu.
Kwa wenyeji wa Dodoma au kuujua mji wa Dodoma. Napenda kujua Hoteli za bei nafuu around 10,000/= to 25,000/=. Maeneo zilipo na Contact zao.

Cana Lodge ( 25,000/) kwa siku
Mvita barabara ya nane
Imagi Inn karibu na Uwanja na Jamhuri
Dear mama ( Arusha Road)
Desert Palm resourt (Area D) Sh 25 - 40,000/=
Grand Hotel (Opposite na Soko Kuu Majengo) Sh 30 - 35

Address na simu tazama kitabu cha simu cha TTCL
 
Na recommend hotl zifuatazo, huwa nafikia hapo, ni pazuri, hata ukitaka huduma zingine wanakupa kijana wa kukusaidia kuzipata (mfano kuku wa kienyeji wa kuchoma, sehemu nzuri za kupata serengeti baridiiii, n.k.);

Rock hotel TZS. 25,000 to 35,000
Grand Hotel Tzs. 30,000 to 40,000
 
Asanteni sana wakuu kwa msaada wenu.
 
Humble house, ipagala, ni nzuri kama uko nyumbani chakula unachopenda. Safi, mpya na B n B. Inamilikiwa na Lutheran, hakuna wizi wala kelele. Nadhani 15000 - 20000.
 
Nilikuwa huko zamani sana..kulikuwa na Dodoma Hotel karibu na posta...sijui nzuri zaidi ya hiyo
 
Back
Top Bottom