Ushauri mabibi na mwabwaa nilikuw ninaomba ushauri mm n mwanzafunzi niliyemaliza form iv mwaka juzi ila niliapply vyuo viwili ambacho n chuo cha ardhi cha morogoro kwa koz ya geomatics ila wameniambia hii koz imejaa ipo ya urban and reginal planning ndio mpya wamesem ndio naweza kusoma hivyo hivy pia niliapply ten chuo cha udom kwa koz ya ICT nimeshaguliwa pia kusoma,sasa wandugu naombeni ushauri niende koz ya mipango miji au ICT.