Kwa kufata link aliyotoa mdau hapo juu ni sh.122100 kwa mtu anayepokea 800,000.Ningependa kufahamu makato ya PAYE kulingana na viwango vya mishahara, mfano mtu anapokea mshahara wa kiwango cha 800,000/= na zaidi asilimia(%) ngapi anakatwa.
Msaada wandugu