Msaada wanateknolojia

chibi

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
240
65
Heshima kwenu wakuu
Nina simu yangu aina ya Tecno M3 Sasa takribani siku kadhaa sasa kila nikiiwasha inaishia kuandika tecno tu basi haiendelei zaidi ya hapo nikizima haizimi hadi nitoe betri ila nikiiwasha ndo kama ivo inaishia kuandika tecno kutwa nzimz..Msaada wenu Tafadhali
 
Fanya hard reset by pressing volume up +power button

Kisha tumia volume up & down buttons kufanya navigation

Select wipe data and reset phone , by pressing power button to select
 
ifanyie hard reset
 
Fanya hard reset by pressing volume up +power button

Kisha tumia volume up & down buttons kufanya navigation

Select wipe data and reset phone , by pressing power button to select
Daaah mkuu nimejaribu hiyo hard reset lakini bado inaishia kuandika tecno tu mkuu haiendelei zaidi ya hapo
 
Fanya hard reset by pressing volume up +power button

Kisha tumia volume up & down buttons kufanya navigation

Select wipe data and reset phone , by pressing power button to select[/QUOTE

Hardware reset, haitatui tatizo kwenye tecno -M3 (flashing will solve his problem)
 
Back
Top Bottom