Msaada: Wanaofahamu Kiswahili cha Congo

myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,612
6,153
Kwenu Waungwana, Wakongo na wasio Wakongo lakini wanaoelewa Kiswahili cha Kongo ambacho ndani yake lazima ukumbane na "Mafranshyee" na Lingala. Hapa chini nina 2 minutes audio. Nime-rewind mara kumi kumi, lakini nimeshindwa kabisa kuelewa jamaa anaongea nini!

Sasa kama kuna anayeelewa, please naomba nitafsirie kwa Kiswahili. Shida yangu sio tafsiri ya dakika zote 2, bali visehemu tu. Kwa mfano:

Clip moja, naomba tafsiri kuanzia sekunde ya 26-39, sekunde ya 45-48, sekunde ya 52-55, sekunde ya 58- dk 1 sekunde 12, total takrani sekunde 32

Kwa kifupi, ni translation ya huyo mwamba anayehojiwa!

Aidha kwa Clip mbili, kuanzia sekunde ya 14-39.

Natanguliza shukrani zangu!
 

Attachments

  • MOJA.mp3
    1.2 MB · Views: 3
  • MBILI.mp3
    682.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom