Nimejaribu nimekosa mkuu
Ndio jina lake hili? Nataka kulitumia kumtafuta instagram.
Funguka vizuri mkuuAnaitwa Zima
Ndio jina lake hili? Nataka kulitumia kumtafuta instagram.
Kuna huyu binti kacheza wimbo wa "washa" na Barnaba. Kwa kweli kila nikiangalia video ile namzimikia vilivyo. Zile movement anapocheza ni balaa, zinanimaliza kbs. Naweza kupata jina lake?
Hapana ndugu nimempenda tu japo kwa muonekano
Hahaha kwa nini mkuuUtamweza dogo
Bongo nyoso ndani joto njee baridi
Ndio huyu kweli? Mbona hawafanani na yule aliyecheza na Barnaba? Kwa kuanzia tu yeye anamdomo mpana kidogo.
Aaa kwa jinsi ninavyomzimikia, nimejiandaa, najua haiwezi kuwa burebure mkuu. Yaani sijui nimekumbwa na nini tu. Kwa kweli nimempenda.Una hela
Bongo nyoso ndani joto njee baridi