Msaada wanajamii nimejaribu kusurf net sikufanikiwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wanajamii nimejaribu kusurf net sikufanikiwa.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by waseinc, Mar 29, 2011.

 1. waseinc

  waseinc Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  what are the economic and social effects of financial liberalization in Tanzania?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hebu nitafsirie hicho kidhungu nikumwagie mapoint sahv.
   
 3. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Nenda Maktaba ya chuo kikuu pale mlimani au nenda maktaba za Mzumbe university na SUA. Utapata shule kibao.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nanren si unajua wanafunzi wanavyopenda mtelezo.
  Badala ya kuja kuuliza aeleweshe swali, yeye anataka tumpe majibu. Dah! Kwenye mitihani sijui inakuwaje.
   
 5. waseinc

  waseinc Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  sio kama napenda mtelezo kaka Husninyo nipo chuo hiyo ni assignment of development nimeingia kwenye library ya chuoni nimeshindwa kupata material yanayohusiana na field hyo nikamua kugoogle napo nimekosa ndio maana nikaona bora nililete jamii forum kuomba msaada zaidi kwa anayefaham ata nikipata title ya kitab ntashukuru nikakitafute nina maswali zaid ya 15 mengine ndo nipo kuyashughulikia muda huhu.
   
 6. waseinc

  waseinc Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  cpo dar wala moro ndugu nipo dodoma chuoni nimeingia library cjafanikiwa kupata kama inawezekana naomba unitajie ata jina la kitab kinachorelat nikakitafute
   
 7. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kukurahisishia,
  kwanza katafute 'the meaning of financial liberalization'
  then katafute 'advantages and disadvantages za financial liberalization'

  halafu uzicategorize hizo faida na hasara katika 'economic' na 'social'
  halafu tumia akili yako.


  Hapo kwenye red, huyo mwenyewe anadai ni mdada na sio mkaka.
   
 8. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wewe tatizo lako linaanzia kwenye kusearch. Hujui kusearch kuna articles mil + za hiyo issue. Naweka hizi hebu angalia
   

  Attached Files:

 9. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Anfaal ameleza uzuri, hiyo guugol haiwezi kukupa jibu la moja kwa moja.

  Nadhani utakuwa umeshafahamu kuhusu concepts hizi:-

  1] analysis -


  • Subdividing something to show how it is put together
  • Finding the underlying structure
  • Identifying motives
  • Separation of a whole into component parts
  2] synthesis -

  • creating a unique, original product that may be in verbal form or may be a physical object
  • Combination of ideas to form a new whole
  3] evaluation -

  • Making value decisions about issues
  • Resolving controversies or difference of opinion
  • Development of opinions, judgements or decisions
  You do that, life isn't that simple, yet it is!
   
Loading...