Msaada wana pre university wenzangu

Jun 9, 2013
12
1
Jaman mi napata wakat mgumu wa kutumia haina ya pen kujaza phome za mikopo pamoja picha zangu za muombaj zinapigwa muhur wa s/mtaa au hazipigwi,pia swala la TCU una aply vip vyuo msaada wenu
 
Jaman mi napata wakat mgumu wa kutumia haina ya pen kujaza phome za mikopo pamoja picha zangu za muombaj zinapigwa muhur wa s/mtaa au hazipigwi,pia swala la TCU una aply vip vyuo msaada wenu[/
Print kwanza fomu kisha soma maelezo yote utaelewa na si kukurupuka kuweka Post humu Jf.
 
Back
Top Bottom