Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,625
- 1,619
Habari wana body..
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, nna ndugu yangu ambaye anafanyakazi katika moja ya vyombo vya usalama hapa Tanzania.
Sasa, alizaa Na Binti Fulani, lakini kutokana Na sababu za msingi hawezi tena kuishi Na Binti huyoo.
Sasa, tatizo ni jinsi ya kumuhudumia mtoto Na kumpata, yaani kumchukua toka kwa mama Yake.
1. Je, kwa kawaida, matumizi ya mtoto kwa mwezi kisheria no kiasi gani ( yaani kulingana Na sheria za ustawi wa jamii)
2. Mtoto ana umri wa miaka minne, je akitaka amchukue kisheria, utaratibu ukoje
3. Je, binti akienda kuripoti kazini, na kutaka apewe huduma moja kwa moja, yaani jamaa awe anakatwa kwenye mshahara, kuna adhabu yoyote ya kinidhamu jamaa atapata, na makato yao yanakuwaje.
Note; muhusika na mwanajeshi.