Msaada wana JF

josephdeo

Member
Nov 23, 2015
95
196
Habarini wapendwa

Jambo nililotaka kuwaomba ni kuwa Mimi Ni mwenyeji wa Mwanza kata ya Mabatini. Baada ya kujichanga nimefanikisha kuweka ka kiduku kangu.

Sasa shida imekuja kwenye swala la kuvuta umeme. Mimi pia ni mnufaika wa ile ofa ya ishirini na Saba lakini sasa toka nilipie mwezi wa kumi mwaka jana mpaka sasa sijapata umeme huo.

Hivyo nilikuwa naomba msaada kwa wanajanvi kama Kuna yeyote anaweza kunisaidia kuliondoa giza basi aje PM tuyajenge. Asanteni!..
 
Hicho kibanda umeweka Mabatini hapo Happ?
 
Kamtafute fundi mkuu wa hapo ofisini mpe bia na posho kidogo.utafurahi na Roho yako.
 
Habarini wapendwa

Jambo nililotaka kuwaomba ni kuwa Mimi Ni mwenyeji wa Mwanza kata ya Mabatini. Baada ya kujichanga nimefanikisha kuweka ka kiduku kangu.

Sasa shida imekuja kwenye swala la kuvuta umeme. Mimi pia ni mnufaika wa ile ofa ya ishirini na Saba lakini sasa toka nilipie mwezi wa kumi mwaka jana mpaka sasa sijapata umeme huo.

Hivyo nilikuwa naomba msaada kwa wanajanvi kama Kuna yeyote anaweza kunisaidia kuliondoa giza basi aje PM tuyajenge. Asanteni!..
Mabatini apo madada poa wako poa sana
 
Back
Top Bottom