Msaada wana-jf

Anniem

Member
Aug 27, 2009
31
1
Habari wana Jf, Nina Lap top yangu haikubali kucheza DVD.CD inaonekana ila ukiifungua inaonyesha haina kitu.
 
hizo ni dalili za kuchoka kwa drive hiyo...haswa kama ulikuwa unatumia sana scratched cd..
 
inawezekana uliitumia sana kuchoma DVD hivyo inashindwa kusoma itakuwa imechoka hiyo
 
hizo ni dalili za kuchoka kwa drive hiyo...haswa kama ulikuwa unatumia sana scratched cd..
Mi nahitaji kusaidiwa. Natumia Nokia C 6-00. Line zote nikiweka napata mtandao. Tatizo naliwa airtime yangu.Ni tofauti nilipokuwa natumia modem unaweka 2500/- unatumia mwezi mzima
 
Mi nahitaji kusaidiwa. Natumia Nokia C 6-00. Line zote nikiweka napata mtandao. Tatizo naliwa airtime yangu.Ni tofauti nilipokuwa natumia modem unaweka 2500/- unatumia mwezi mzima
DUH..mkuu hii nayo kali...kutoka kwenye DVD/CD ROM hadi kwenye simu!?? lah... anyway...cha kujiuliza hapo ni kuwa unajuinga na bundle kama unavyofanya kwenye modem? na pia unatumia kwa matumizi mengine hasa kupiga simu na message kwa salio hilohilo au? zaidi ya hapo mkuu wapigie simu customer care check nao!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom