Msaada wana JF

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,315
1,186
Jamani mimi nashindwa kuelewa, nimejiunga Jf lakini bado nazuiliwa kutoa maoni kwenye nyuzi,na ninapojaribu naletewa maneno haya,
Your account is correntry pending admin approval tatizo ni nini wakuu? msaada tafadhali.
 
Bado nakufanyia ukaguzi pamoja na uhakiki.
Jaribu kuvuta subra
 
Duh ila kuanzisha uzi unaweza?

Sasa utaulizaje maswali wakati kuchangia huwezi?

Au utaanzisha thread kwa kila comment ya hapa?
 
Jamani mimi nashindwa kuelewa, nimejiunga Jf lakini bado nazuiliwa kutoa maoni kwenye nyuzi,na ninapojaribu naletewa maneno haya,
Your account is correntry pending admin approval tatizo ni nini wakuu? msaada tafadhali.
CORRENTRY
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom