Kaka acha kumpotosha mtoto wa watuunatakiwa utoe kafara au hujasoma masharti ??
Bado nakufanyia ukaguzi pamoja na uhakiki.Jamani mimi nashindwa kuelewa, nimejiunga Jf lakini bado nazuiliwa kutoa maoni kwenye nyuzi,na ninapojaribu naletewa maneno haya,
Your account is correntry pending admin approval tatizo ni nini wakuu? msaada tafadhali.
anatakiwa alete kenge wanne na damu yakeKaka acha kumpotosha mtoto wa watu
anatakiwa alete kenge wanne na damu yake
unatakiwa utoe kafara au hujasoma masharti ??
Umetumia mafuta au kasukuma na mate?Kaka imekubari
CORRENTRYJamani mimi nashindwa kuelewa, nimejiunga Jf lakini bado nazuiliwa kutoa maoni kwenye nyuzi,na ninapojaribu naletewa maneno haya,
Your account is correntry pending admin approval tatizo ni nini wakuu? msaada tafadhali.