Msaada wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wana jf

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mulhat Mpunga, Aug 1, 2011.

 1. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,097
  Likes Received: 10,411
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni jana nimeibiwa wallet ndani mlikuwamo kadi za bank na kitambulisho cha kura ,nifanyeje kupata kingine!? Manake ndo id pekee nlonayo
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Pole sana dada! Unatakiwa kwanza kwenda kuripoti polisi ili uweze kupata documents za kukusaidia kupata nyinyine. Halafu uende benki ukawataarifu makuandalie kadi nyingine! Hapa unaweza kupata msaada kwa kuweka jina kamili lililopo kwenye hizo id na no ya simu ili kama kuna atakayebahatika kuviona akupigie uweze kuvifuata alipo. Pole sana na next time uwe makini hasa unapokuwa umebeba doc muhimu.
   
Loading...