Msaada wana Jf naumbuka mtu mzma

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,204
13,176
Jaman eee kuna dem ambaye tumepanga kuoana nampenda sana na yeye ananipenda sasa yeye anapenda sana mapenz ya kwenye sim tatzo sasa yeye anapenda kuvaa chachandu(shanga) sasa mie sijui kuzitumia na yeye anapenda sana nizichezee n mtoto wa kitanga. Naomba anaejua jnsi znavotumiwa anidokeze kdogo naumbuka mwenzenu
 
unataka kuoa?
na unachofikiria ni kuchezea shanga?
your biggest worry?
umewahi fikiria ten years from now?
ada za watoto?
mtakaa wapi?
kazi yako?ukifukuzwa?biashara ikifa?
kodi zinaongezeka.anything for you to worry?

shanga??????
 
Mkuu hujamsoma aina ya mtu mwenyewe, unaweza guess hata umri wake from his words
 
Umeona ehe? Msamehe kizazi cha mulugo hicho.
 
Mkuu hujamsoma aina ya mtu mwenyewe, unaweza guess hata umri wake from his words

Ningeweza dharau
but kama kweli anaoa,usisahau
makosa yake yanaweza haribu maisha ya mwingine pia
hii ni homework nimempa
 
unataka kuoa?
na unachofikiria ni kuchezea shanga?
your biggest worry?
umewahi fikiria ten years from now?
ada za watoto?
mtakaa wapi?
kazi yako?ukifukuzwa?biashara ikifa?
kodi zinaongezeka.anything for you to worry?

shanga??????

sisi tukisema tunawapenda 30's and 40's hivi huwa mnatuelewa kweli?
Mambo yenyewe ndo kama haya mmmh
 
Yan unawaza shanga wakati ndoa ina mambo mengi hayo mapenz n sehemu ya ndoa tu,nasio ndoa yenyewe,kwa mtu mwenye kuelewa hawez akakurupuka kama wewe,angalia sana kama unataka kuoa,usije ukarudi tena kutaka ushauri wa kuachana.
 
Ungemuuliza aliyekuvalia ingenoga zaidi..humu kila mtu ana mawazo yake ndugu.
 
Siku moja na wewe mpe surprise ya kuvaa shanga kama yeye...
Halafu muombe azichezee, wakati huo wewe uendelee kuchukua notsi...
Nadhani hadi hapo utakuwa ushajifunza ni jinsi gani huwa zachezewa
 
Vaa shanga wewe halafu mtafute mwanaume mwenzio akuonyeshe jinsi zinavyochezewa kisha ukishaelewa rudi kwa Girlfriend wako muendeleze huo mchezo wa kuchezeana shanga.
 
Jaman eee kuna dem ambaye tumepanga kuoana nampenda sana na yeye ananipenda sasa yeye anapenda sana mapenz ya kwenye sim tatzo sasa yeye anapenda kuvaa chachandu(shanga) sasa mie sijui kuzitumia na yeye anapenda sana nizichezee n mtoto wa kitanga. Naomba anaejua jnsi znavotumiwa anidokeze kdogo naumbuka mwenzenu

Waza maisha wewe,ama nyie ndo mlomaliza form form mwaka jana.hivi unafamilia ??bana na mama na ndugu??
Kuchezea shanga kisha ukale kwenu sio dili,jamani jaya mapenzi yapo tu tusipoteze muda mwingi kuwaza sex,fikilia miaka kumi ijayo kama mmoja wa wachangiaji alivosema
 
unataka kuoa?
na unachofikiria ni kuchezea shanga?
your biggest worry?
umewahi fikiria ten years from now?
ada za watoto?
mtakaa wapi?
kazi yako?ukifukuzwa?biashara ikifa?
kodi zinaongezeka.anything for you to worry?

shanga??????

hata hlo n sehem ya ndoa kwan wangap wana mali na kila kitu lakn udhaif wakitandan ndo unawatenganisha? Tunajifunza kwakuona mifano hai.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom