Wanabodi. Kuna academic analysis naifanya na moja ya eneo ambalo natakiwa kulifanyia analysis ni 'religious distribution' hapa Tanzania bara. Naombeni msaada wenu kwa kunitajia mikoa au wilaya zenye Waislam wengi.
Nenda bakwata watakuambia,au mpigie sheh ponda
Unadhani au una uhakika kuwa habari yako inajibu swali langu?Huyo aliyekupa hiyo kazi anakupoteza na utapotoka.Nadhani habari yangu inajibu swali lako.
Kwa kuwa unafanya hiyo kazi naomba utuambie Tanzania bara tuna dini ngapi?Wanabodi. Kuna academic analysis naifanya na moja ya eneo ambalo natakiwa kulifanyia analysis ni 'religious distribution' hapa Tanzania bara. Naombeni msaada wenu kwa kunitajia mikoa au wilaya zenye Waislam wengi.
Kwa ulewa wangu ni tanga,lindi pwani na tabora