Msaada wana Jamii

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
1,332
Likes
33
Points
145

mojoki

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
1,332 33 145
Ndugu wananchi wa JF! kajana wenu mpendwa ninatarajia kwenda kufanya interview kwenye kampuni moja ya simu ofcoz customercare position xaxaa naombeni msaada wa maswali i mean samples kama kuna mtu yeyote mwenye uzoefu wa haya masuala...ili kijana wenu nitakapokua nimesimama wima mbele ya hadhira nisije shikwa na kigugumizi...IN SHORT "ANY ONE FOR HELP>CUSTOMER CARE SAMPLE QUESTIONS<...Thank you very much wote mtakao changia -vely or +vely.
 

Forum statistics

Threads 1,203,433
Members 456,762
Posts 28,113,347