Msaada: Wamehack website yangu toka jana!!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
12,965
26,128
Wadau naomba msaada kwa yeyote aloyewahi kumbana na hii changamoto! Site yangu ndiyo kwanza haina hata mwezi, lakini jana nimeshindwa kuingia na inaniambia hacked by XenonCoder!

Je nitumie mbinu gani kurudisha site yangu? Mpaka sasa sijaona chochote walichobadilisha, ila hata nikijaribu kushare like inakuwa na inatoa hayo maandishi ya hacked

Natanguliza shukrani!
 
umetengeneza mwenyewe hiyo site mwanzo mpaka mwisho, au unatumia CMS kama wordpress, au nyingine??
 
Site gani? Hatuwezi kukupa msaada mpaka tujue details za nini kinaweza kuwa kimetokea. Ku'hack' ni neno pana sana.
 
umetengeneza mwenyewe hiyo site mwanzo mpaka mwisho, au unatumia CMS kama wordpress, au nyingine??
Natumia wordpress, nilitengeneza mwenyewe na theme natumia ya Newsmag
 
weka passwords zako hapa na details nyingine muhimu wadau waingie kuirudisha
 
Unaaccess ya server? Cpanel etc? Ingia humo futa kila kitu anza upya. Hiyo wordpress umefanya update ya Wordpress lini mara ya mwisho?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom