Msaada wakuu

travellwr

travellwr

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2013
Messages
204
Points
225
travellwr

travellwr

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2013
204 225
nina solar panel na betri lake , nina tv ya solar tatizo ni king'amuzi decoder ipi inatumia solar... maana azam naona hadi utie kwenye umeme na startimes vilevile nataka nipate decoder iwe na pin mbili za kuweka kwenye betri la solar hasi na chanya.
 
Chipukizi

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
2,505
Points
2,000
Chipukizi

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
2,505 2,000
Ndani ya Decoder kuna Power supply inayo badilisha volts 220 Ac kuwa Dc 12 Volts.Ifungue ukonect solar 12 Volts.Ukiweka picha hapa utaelekezwa jinsi ya kukonect ili ifanye kazi
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,466
Top