Msaada Wakuu Wapi naweza pata dc laptop adapters

jmdume

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
317
301
Habari zenu wakuu wajuvi.. naombeni msaada , ni wapi zinapatikana Universal dc laptop adapters za magari yani charger za laptop ambazo naeza kutumia kwenye gari au DC power source yenye 12v ...please naombeni msaada kwa anayefahamu wapi zinapatikana hizi accessories niko sehemu ambayo haina umeme wa AC so nahitaji hiki kifa ili shughuri zangu ziweze kwenda sawa.

Dizaini ya kifaa chenyewe ni kama demo hii kwenye picha
20180329202800_24183.jpeg
 
Laptop yako inatumia Volts ngapi na Amps Ngapi???DC Adaptors zipo nyingi tuuu nipe specs zako tupaeane Ushauri mkuu
 
Mkuu si uunde yakwako mwenyyewe tu

Kama vipi nitumie specification requirements za PC yako nikuundie

Mbona simple tu, mm ni mtaalam wa electronics from DIT
 
Ac adapter yake inatoa output ya 19.5 V ~ 3.33A ya 65 watts power consumption bt nilikuwa nahitaji universal adapters itakuwa vyema zaidi

Daah mi niko ruvuma aisee mbona itakuwa shida hapo sasa
Nunua hiki kifaa
1543989952116.png

1543989982852.png

1543990005856.png

Waweza kutumia kwenye gari
- Charge laptop yako
- Simu etl

Waweza kutumia nyumbani iwapo una mfumo wa solar au bila mfumo wa solar utatumia betri la gari.

Bei kwa inverter ya 3,000W : TZS 143,700 ( Hadi kufikisha Dar ), kwa mkoani utatumiwa kwabasi au ems
Muda: Wiki tatu (3)
Maelezo zaidi ya manunuzi: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
1543990255239.png

Uzuri wea hii inverter ni kuwa waweza tumia hata kuwashia TV (hizi flat sreen) na sub woofer, sababu umeme unaotoka ni 220V sawa na umeme wa kawaida.

Hii pichani ndio nilikuwa nikitumia nikiwa safari/ mkoani ambako hakuna umeme
1543990464137.png
 
zinapatikana Universal dc laptop adapters za magari yani charger
Hizo adapter zina tatizo la over-heating na huungua baada ya siku chache za matumizi.
Ni jamii moja na hii pichani, Bei yake ni TZS 30,000 ila ndio hivyo hazidumu.
1543990916174.png
 
Nunua hiki kifaa
View attachment 956502

View attachment 956503

View attachment 956504

Waweza kutumia kwenye gari
- Charge laptop yako
- Simu etl

Waweza kutumia nyumbani iwapo una mfumo wa solar au bila mfumo wa solar utatumia betri la gari.

Bei kwa inverter ya 3,000W : TZS 143,700 ( Hadi kufikisha Dar ), kwa mkoani utatumiwa kwabasi au ems
Muda: Wiki tatu (3)
Maelezo zaidi ya manunuzi: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
View attachment 956507

Uzuri wea hii inverter ni kuwa waweza tumia hata kuwashia TV (hizi flat sreen) na sub woofer, sababu umeme unaotoka ni 220V sawa na umeme wa kawaida.

Hii pichani ndio nilikuwa nikitumia nikiwa safari/ mkoani ambako hakuna umeme
View attachment 956519
Asante boss tutawasiliana ila nilikuwa nahitaji hizo dc to dc adaptors nikijua ni effective zaidi...
 
Back
Top Bottom