mnadhimu mkuu wa jf
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 754
- 272
Habari zenu wakuu,
Kama nilivyojieleza hapo juu kuna dada yangu mmoja ana hilo tatizo na hilo limeanza baada ya kuacha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kabla alikuwa yupo sawa sawa na akafanikiwa kupata mtoto mmoja akiwa hajaolewa baada ya hapo akaanza kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa miaka mitano ndipo kapata bwana hatimaye kaolewa na akaacha kutumia vidonge maana anahitaji kumzalia mmewe mtoto sasa tangu aache huu ni mwezi wa saba mfululizo hajawahi ona siku zake hata mara moja je tatizo laweza kuwa nini? Msaada tafadhalini.....