Msaada wakuu nimepata tatizo la macho

Nilikuwa sijuwi lakini Karoti kwamujibu waDoctor Sebi Karoti ina asidi nyingi na imetngenezwa na binadamu sio Mungu. Karoti haiwezi kukusaidia kukutibu maradhi ya macho hataule karoti kilo moja kila siku haitoweza kukutibu maradhi ya macho. Karoti ina madini mengi ya wanga na madini ya wanga aka ( starch) kwa binadamu hayafai kiafya.

Dr Sebi: Why No Spinach, No Tofu, No Carrot: KAROTI NA MCHICHA ZINA ASIDI NYINGI NA ZINA MADINI YA WANGA HAZIFAI KULIWA NA BINADAMU​

Sawa mkuu
 
Habari za mchana wakuu?

Niende straight to the point. Majuzi niliumwa sana nikalazwa takribani wiki moja kwa maradhi ya tumbo. Nimetoka juzi naona kuna Hali Fulani imenianza naomba msaada wakuu.

Nimekua na blurred vision, yaan hata kitu ambacho kipo mita mbili mbele yangu sioni vizuri macho yanakua Kama mtu umetoka kulala hivi mpaka nisogelee karibu.

TV yenyewe mpaka nisogee karibu ndio nione vizuri au nizoom kwa kioo Cha simu. Naomba msaada wakuu, sijawahi kua na tatizo la macho Wala kufanyiwa operation, Ni ghafla tu hii Hali imenianza

Pole,
Ni vizuri kufanya yafuatayo kabla ya kujikita kwenye tiba moja kwa moja. Ingawa tiba lishe hazina athari yoyote ukianza kutumia.

Kwani, matatizo kama hayo yaweza kuwa ni ishara ya uwepo wa tatizo lingine ambalo liaathiri macho pia.
Kutokana na kutokupata historia yako kwa ujumla na umri:

1: Pima vital signs (presha ikiwa moja ya vitu mhimu) kwani huweza kuchangia kwenye matatizo ya macho.

2: Daktari apate kukusikiliza kwa ujumla pamoja na matibabu uliyopata ikijumuisha dawa husika.

3: Pima sukari na kiasi chako cha damu.

4: Mwone daktari wa macho ili ufanye vipimo vya macho. Kuna matatizo yanaweza kuanza na kupatiwa ufumbuzi na tatizo likaisha, lakini ukichelewa tiba yake inakuwa ngumu.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom