Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,715
Wakuu,

Kwa wenye ujuzi na uzoefu naomba mawazo yenu juu ya biashara ya Bar. Vitu gani vinatakiwa, vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufungua na mahala ambapo panafaa zaidi kwa hizi biashara za Bar. Naombeni ushauri wenu.

KWA WAFANYABIASHARA YA BAA

Naam ndugu ninataka kushirikiana na mtu ambaye anapenda kufanya biashara ya baa eneo lipo Dar es Salaam Ilala barabara ya kawawa linavutia sana kwa kufanya biashara hiyo ambapo sisi wenye eneo tunafanya biashara ya mgahawa kwa mda mrefu tangu mwaka 2000 mpaka sasa.

Mimi nataka kufungua biashara ya internet café na stationary ila umeme ndo hakuna .Kuna jamaa alilipa pesa ya umeme ila alishindwa kugharamia gharama za kuweka luku na kuvuta umeme hivyo kama unapenda njoo tushirikiane sisi tunakuachia biashara ya baa ila ya chakula unatuachia sisi kwani sitakudai kodi ila utagharamia gharama za kuweka luku alafu wote tunakuwa tunachangia kulipa bili ya umeme itakapokuwa inakwisha.

Eneo lipo kibiashara zaidi kwani lipo barabarani na kuna tax zinapaki masaa 24 pia kuna mtu ameweka pooltable mbili anachezesha kuanzia asubuhi mpaka saa 5 usiku na mngarisha viatu yupo pamoja na waosha magari na eneo kubwa la parking lipo.

Kwa taarifa zaidi tuwasiliane kwa kunitumia meseji kupitia namba hizi (usipige)=0719879608
Habari zenu wadau wa JF.

Niende kwenye mada hapo juu, naomba kujuzwa hatua na taratibu muhimu za kuzingatia wakati ninapotaka kuanzisha biashara ya vilevi na vinywaji baridi yani bar(baa).

Nyingine zinajulikana kama vile wanawake wenye mvuto na kauli nzuri yaa barmaids wakali wa sura.

Naombeni hatua nyingine muhimu zikiwepo za kisheria, afya nk.
 
Mkuu hiyo pia itategemea wapi unafungua hiyo bar yako! Kuna sehemu jiko halilipi kabisa na sehemu zingine jiko la noah linalipa na sehemu zingine ukiweka noah ndo umeua bar, so location matters.
 
mkuu hiyo pia itategemea wapi unafungua hiyo bar yako!!kuna sehemu jiko halilipi kabisa na sehemu zingine jiko la noah linalipa na sehemu zingine ukiweka noah ndo umeua bar,so location matters.
Mkuu mimkni uamsho sitaweka noah ikawahudumuwangu nataka wawe matata kalio kilo mia.
 
Mkuu mimkni uamsho sitaweka noah ikawahudumuwangu nataka wawe matata kalio kilo mia
Ok mkuu jitahidi kwa wahudumu!!si unajua sisi wanywaji twataka care kama wakitu care tutakuja!!!ila tukiwazoea sana tuna sepa! inabidi uwe una wabadilisha kila baada ya mwezi au miezi miwili!
 
Ok mkuu jitahidi kwa wahudumu!!si unajua sisi wanywaji twata care kama wakitu care tutakuja!!!ila tukiwazoea sana tuna sepa!inabidi uwe una wabadilisha kila baada ya mwezi au miezi miwili!!
DUuu na hizi ndo ajila alizowaahidi dada zetu kikwete wafukuzwe baada ya mwezi khaaaaa!
 
Wewe mwenyewe mnywaji au ushewahi kunywa? Mtaji wako vipi? Je unamiliki jengo au unapanga? Una marafiki wengi?
 
KWA WAFANYABIASHARA YA BAA

Naam ndugu ninataka kushirikiana na mtu ambaye anapenda kufanya biashara ya baa eneo lipo Dar es Salaam Ilala barabara ya kawawa linavutia sana kwa kufanya biashara hiyo ambapo sisi wenye eneo tunafanya biashara ya mgahawa kwa mda mrefu tangu mwaka 2000 mpaka sasa.

Mimi nataka kufungua biashara ya internet café na stationary ila umeme ndo hakuna .Kuna jamaa alilipa pesa ya umeme ila alishindwa kugharamia gharama za kuweka luku na kuvuta umeme hivyo kama unapenda njoo tushirikiane sisi tunakuachia biashara ya baa ila ya chakula unatuachia sisi kwani sitakudai kodi ila utagharamia gharama za kuweka luku alafu wote tunakuwa tunachangia kulipa bili ya umeme itakapokuwa inakwisha.

Eneo lipo kibiashara zaidi kwani lipo barabarani na kuna tax zinapaki masaa 24 pia kuna mtu ameweka pooltable mbili anachezesha kuanzia asubuhi mpaka saa 5 usiku na mngarisha viatu yupo pamoja na waosha magari na eneo kubwa la parking lipo.

Kwa taarifa zaidi tuwasiliane kwa kunitumia meseji kupitia namba hizi (usipige)=0719879608
 
Wakuu nataka kuanzisha biashara ya vintwaji yaani bar

Sasa nimepata mwawzo mengi kutoka kwa wadau mbalimbali mengine yameniogopesha. Watu wananiambia biashara ta bar lazima niende kwa waganga wa kienyeji wanipe dawa,hili jambo kwa kweli halijawahi kukaa kichwani kwangu kwamba waganga wanaweza kutoa dawa ya kumpa mtu ham ya kunywa pombe na kumuelekeza aje kunywa kwangu.

Binafsi sismini hili jambo ingawa inaonekana ni jambo la kawaida kwa watu maana wengi niliowauliza wananiambia hivyo kwamba lazima nitembee kwa waganga,wananipa mifano kujenga hoja yao.

Mfano nimewauliza wahudumu wengi wa bar kubwa kubwa za hapa dar je wanatoa huduma gani nzuri zinazovutia wateja kujaa, wengi wanaonyesha kwamba mabosi wao huwa wanaroga

Sasa naomba mwawzo yenu,nifanyeje bar yangu iwe na watu wengi au ichangamke na niuze sana

Nakaribisha mawazo yenu uli niweze kuamua cha kufanya,eneo ninalo zuri tu hapa dar.

Karibuni sana
 
Tafuta mabaamedi wazuri waliojazia neema za allah halafu Asprin atakushauri cha kufanya
 
Last edited by a moderator:
1) Wahudumu wawe wakarii

2) Kila baada ya miezi miwili jaribu kubadilisha wahudumu sio kwa mkupuo mmoja mmoja

3)Usitembee na wafanyakazi wako utawapa kiburi
 
BOSS inapaswa ujiamini kwani biashara sio lazima uwende kwa waganga kwani mganga ni wewe mwenyewe,biashara inaendeshwa kwa daftari&kalamu tu sio jingine lkn pia kama unaona unahitaji darasa zaidi basi wasiliana nami kwani mimi ni mjasiriamali nina kampuni ya consultant natoa huduma za kiushauri wa kibiashara zaidi pia naweza kukutembeza kwa wateja wangu wenye mafanikio zaidi ktk nyanja kama yako, vilevile TUNAWEZA kushirikiana ktk biashara, nakukaribisha ofcn boss kwa mawasiliano zaidi-+255 657 740 797.
 
Weka wahudumu wa kiume, tafuta screen kubwa kuanzia mbili na uweke dstv, tafuta mchoma nyama professional, mziki uliochujika na dj mzuri. Usisahau usafi chooni na the customer is always right.
 
1) Wahudumu wawe wakarii

2) Kila baada ya miezi miwili jaribu kubadilisha wahudumu sio kwa mkupuo mmoja mmoja

3)Usitembee na wafanyakazi wako utawapa kiburi

Ubadilishe wahudumu kila baada ya miezi miwili?!!mbona Calabash Mwenge ina wahudumu walewale muda mrefu na biashara inachanganya!!

Jambo la msingi tengeneza brand yako, lakini zingatia ubora wa chakula, muziki na wahudumu wenye adabu. Usiruhusu mhudumu kuzoeana na mteja hadi kukaa meza moja, kuna watu wengi hawapendi hilo.

Mwisho, chakula kizuri, huduma ya haraka na muziki mzuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom