msaada wakuu natafuta wimbo wa ''edgar mchizi wangu sitamuona tena..

Texas Tom.

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
510
273
wazee mwenye kuujua ule wimbo wa ''edigar mchizi wangu sintamuona tenaaa....'' uliimbwa na nani na unaitwaje?? msaada tafadhali, mi sio mtu kusikiliza mziki mara kwa mara lakini nimeusikia mara 1 nimeukubali..
 
Video yake ameichukulia kwenye mkoa mpya wa geita na wanasema ni true story imetoka mwaka huu katikati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom