Msaada wakuu mwanangu anatapika kila akila chakula

Sphory

Member
Dec 22, 2012
34
7
Msaada wenu wakuu mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na nusu toka juzi kaanza kutapika kila anapoonja chakula umchukua takribani dakika tano tu anapokula chakula anatapika.
Nimempeleka hospitali jana wakafanya vipimo vyote lakini wakasema yuko poa itakuwa ni mchafuko wa tumbo tu.
Na dawa kapewa . Lakini toka hiyo jana bado sioni nafuu akionja tu chakula hata kunyonya kwa mama yake dakika tano nyingi anatapika.
Msaada wakuu kwa yoyote anayefahamu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari! Umempeleka mwanao hosp gani? Umeonana na daktari wa watoto?

Naomba uniandikie dawa aliyopewa hospitali.

Ushauri: Kutapika ni kiashiria kibaya kwa afya ya mwanao na anapoteza maji ambayo ni muhimu sana kwa mwili wake. Mpeleke hospitali, onana na daktari wa watoto apewe matibabu stahiki.

Nachelea kukuandikia dawa hapa bila kuona vipimo vyake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyingine ya vidonge inaitwa Red zinc
Dawa ndio hizo
1555496038749.jpeg
1555496135110.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari! Umempeleka mwanao hosp gani? Umeonana na daktari wa watoto?

Naomba uniandikie dawa aliyopewa hospitali.

Ushauri: Kutapika ni kiashiria kibaya kwa afya ya mwanao na anapoteza maji ambayo ni muhimu sana kwa mwili wake. Mpeleke hospitali, onana na daktari wa watoto apewe matibabu stahiki.

Nachelea kukuandikia dawa hapa bila kuona vipimo vyake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutumia mkuu hizo dawa nilizopewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyingine ya vidonge inaitwa Red zinc
Dawa ndio hizoView attachment 1074086View attachment 1074088

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, hapo umepewa dawa ya kushusha homa, antibiotic na pia dawa za kuzuia kuharisha. Pedzinc ambayo huzuia kuhara ina kazi pia ya kupandisha kinga mwili pia husaidia magonjwa ya koo.

Kwa hiyo Dr ameamua kutibu kwa ujumla na ninakuomba utumie hizo dawa walau mpk siku 3 ndipo upime kama hali itabadilika. (akiwa na maendeleo mazuri HAKIKISHA ANAMALIZA DOSAGE)

Hapo hajakuandikia dawa ya moja kwa moja ya kuzuia kutapika as ameamua kudeal na mzizi unaoweza kuwa umepelekea ugojwa uliosababisha kutapika.

Ukiona hali inakuwa mbaya na anashindwa kabisa kunyonya mrudishe hosp apewe hata antiemetic (hii itakuwa ni kwa ushauri wa Dr)

Pole, atapona!

Thanks bro for the advice be blessed
Nitarudisha mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi cheki fasta hii ni dalili ya DENGU sawa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom